2 Chronicles 9:29

Kifo Cha Solomoni

(1 Wafalme 11:41-43)

29 aKwa habari za matukio mengine ya utawala wa Solomoni, kuanzia mwanzo hadi mwisho, je, hayakuandikwa katika kumbukumbu za nabii Nathani, katika unabii wa Ahiya Mshiloni na katika maono ya Ido mwonaji kuhusu Yeroboamu mwana wa Nebati?
Copyright information for SwhNEN